katika kuadhimisha siku ya mfamasia duniani,Halmashauri ya Wilaya ya Buhigwe chini ya Idara ya Afya imeadhimisha siku ya mfamasia duniani kwa kuwatembelea wanafunzi wa shule ya sekondari Buyenzi na kuwapatia Elimu juu ya umuhimu wa masomo ya sayansi katika jamii.
Mji Mpya wa Bwega-Ofisi za Mkurugenzi
Postal Address: P.O.Box 443 Buhigwe
Simu Ya Mezani: 0282988460
Simu ya mkononi: (+255) 782 500 333
Barua Pepe: ded@buhigwedc.go.tz