SECRETARIAT ya CHAMA CHA MAPINDUZI Wilaya ya Buhigwe ikiongozwa na Katibu wa Chama Wilaya Cde.Salumu Hamis Haji, iliyoambatana na Mhe. Col. Michael Ngayalina, Mkuu wa Wilaya ya Buhigwe wamefanya Ziara kutembelea na kukagua miradi mbali mbali inayotekelezwa katika wilaya ya hiyo.
Miongoni mwa miradi hiyo ni:
1. Ujenzi wa Mabweni katika shule ya watoto wenye mahitaji Maalumu - Kata ya Kajana.
2. Chanzo cha Maji - Kata ya Mwayaya
3. Chanzo cha Maji Safi - Kata ya Kajana
4. Ukaguzi wa ujenzi wa tank la Maji - Kata ya Biharu
Mji Mpya wa Bwega-Ofisi za Mkurugenzi
Postal Address: P.O.Box 443 Buhigwe
Simu Ya Mezani: 0282988460
Simu ya mkononi: (+255) 782 500 333
Barua Pepe: ded@buhigwedc.go.tz