Na Alexander Michael. Halmashauri ya wilaya ya Buhigwe inaungana na watanzania wote kuomboleza kifo cha Rais wa awamu ya tatu Mhe. Benjamin W. Mkapa (1938-2020). Tuendelee kumwomba Mungu atufanyie wepesi hasa katika kipindi hiki cha majonzi ya kuondokewa na Baba yetu mpendwa. Pumzika kwa amani mwendo umeumaliza.
Mji Mpya wa Bwega-Ofisi za Mkurugenzi
Postal Address: P.O.Box 443 Buhigwe
Simu Ya Mezani: 0282988460
Simu ya mkononi: (+255) 782 500 333
Barua Pepe: ded@buhigwedc.go.tz