Kwa niaba ya Katibu tawala Wilaya ya Buhigwe Ndug David Mwanri ambaye ni Afisa Vijana amefungua rasmi kambi ya mafunzo ya vijana wa Wilaya ya Buhigwe kutoka katika shule za msingi na sekondari iliyofanyika katika shule ya Sekondari ya Buyenzi.
Mafunzo hayo yakiwa na lengo la kufundisha vijana hao uzalendo,uwajibikaji,mshikamano na ukomavu.
Mji Mpya wa Bwega-Ofisi za Mkurugenzi
Postal Address: P.O.Box 443 Buhigwe
Simu Ya Mezani: 0282988460
Simu ya mkononi: (+255) 782 500 333
Barua Pepe: ded@buhigwedc.go.tz