• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe za ofisi |
Buhigwe District Council
Buhigwe District Council

Jamuhuri Ya Muungano Wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Buhigwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi Mkuu
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Muundo Wa Utawala
    • Idara
      • Utawala Na Utumishi
      • Mipango, Takwimu Na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha Na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Secondari
      • Maji
      • Mifugo Na Uvuvi
      • Ardhi Na Maliasili
      • Maendeleo Ya Jamii Na Ustawi Wa Jamii
      • Ujenzi Na Zimamoto
      • Kilimo,Umwagiliaji Na Ushirika
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi Wa Ndani
      • Habari Na Mawasiliano
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kiutalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Wah. Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao
      • Kuonana na Mhe.Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayotarajiwa Kufanywa
    • Miradi Inayoendelea Kufanywa
    • New Planned Project
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Other Fomu
    • MpangoKazi
    • Baraza-Madiwani
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio

RAS KIGOMA,WAUGUZI FANYENI KAZI KWA KUZINGATIA MAADILI YA TAALUMA YENU.

Posted on: May 12th, 2025

katibu Tawala Mkoa wa Kigoma Mh Hassan Rugwa amewataka Wauguzi na wakunga mkoani hapa kufanya kazi kwa kuzingatia kanuni na maadili ya taaluma yao.

Ametoa wito huo leo tarehe 12 May 2025 wakati akizungumza katika maadhimisho ya siku ya wauguzi duniani ambayo kwa mkoa wa kigoma yamefanyika katika kijiji cha Songambele kata ya Munyegera wilayani Buhigwe.

Aidha ameongezea kuwa serikali imeendelea kuboresha miundombinu mbalimbali ya afya katika mkoa wa Kigoma pamoja na kuweka mikakati ya kutatua changamoto mbalimbali zinazowakabili wauguzi ili kuhakikisha wanatoa huduma bora kwa Wananchi na kuwapongeza wauguzi wote kwa kazi wanayoifanya ya kuwahudumia Wananchi.

Kwa upande wake Mganga Mkuu wa mkoa wa Kigoma Damas Kayela amesema wataendelea kushirikiana na wauguzi katika kutatua changamoto zinazowakabili ili kuimarisha huduma za afya kwa wananchi.

Naye mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM )Wilaya ya Buhigwe Eng Dyegula ameishukuru Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuendelea kuboresha huduma za Afya kwa kuboresha miundominu na kuongeza vituo vya Afya kwa ajili ya kuwapatia wananchi huduma zilizo bora.

Adoneth Josephat na Hamis Bilanyobeye ni wakazi wa Wilaya ya Buhigwe kwa pamoja wameishukuru Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ikiongozwa na Dkt Samia Suluhu Hassani kwa kumaliza changamoto yao ya umbali wa kituo cha Afya na kuomba kutatuliwa changamoto ya upungufu wa Wauguzi katika vituo vyao vya Afya.

#buhigwefahariyetu

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAILI - 04.07.2023 June 23, 2023
  • KILA KHERI DARASA LA SABA September 12, 2023
  • TANGAZO LA AJIRA - OKTOBA 2023 October 09, 2023
  • TANZIA February 16, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • KAULI MBIU: “ MAZINGIRA YETU NA TANZANIA IJAYO TUWAJIBIKE SASA DHIBITI MATUMIZI YA PLASTIKI”

    June 02, 2025
  • UMITASHUMTA MKOA WA KIGOMA 2025.FOOTBALL AND HANDBALL THE TEAM FIRST WINNER IS BUHIGWE.

    June 01, 2025
  • BUHIGWE DC NDO SISI HAO.

    May 31, 2025
  • NYOTE MNAKARIBISHWA.

    May 31, 2025
  • Angalia zote

Video

Hospitali ya Wilaya ya Buhigwe kuanza kutoa huduma za Afya
Video Zaidi

Kurasa Za Karibu

  • Kuhamisha Mwanafunzi
  • Tovuti ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
  • FFARS USER GUIDE
  • PlanRep Documentation
  • Facility Financial Accounting and Reporting System (FFARS)
  • Kata Zetu
  • Wahe. Madiwani
  • BEMIS

Tovuti Mashuhuri

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Bunge La Tanzania
  • Ikulu
  • Bodi Ya Manunuzi na Ugavi
  • Wizara ya Ardhi
  • Wizara ya Elimu, Sayansi

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Mji Mpya wa Bwega-Ofisi za Mkurugenzi

    Postal Address: P.O.Box 443 Buhigwe

    Simu Ya Mezani: 0282988460

    Simu ya mkononi: (+255) 782 500 333

    Barua Pepe: ded@buhigwedc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma
    • Mwanzo

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Buhigwe. Haki zote zimehifadhiwa