Akizungumza wakati wa Kukabidhi madarasa na Ofisi ya Walimu katika shule aliyowahi kusoma hapo ya Muyama Shule ya Msingi amewataka wazazi kuwekeza nguvu na jitihada zao kuhakikisha watoto wanaenda shule, kusoma na kumaliza na kuonya wanaokatisha masomo kwa wananfunzi, pamoja na Hayo;
Makamu wa Rais yupo Mkoani Kigoma kwa ziara ya siku 3 hadi Julai 6, 2023
Mji Mpya wa Bwega-Ofisi za Mkurugenzi
Postal Address: P.O.Box 443 Buhigwe
Simu Ya Mezani: 0282988460
Simu ya mkononi: (+255) 782 500 333
Barua Pepe: ded@buhigwedc.go.tz