WEOs VEOs CDOs wa Kata na Vijiji wapatiwa mafunzo elekekezi ya namna bora ya ukusanyajii wa Kodi ya majengo,Kodi ya pango la ardhi na ushuru wa mabango Wilayani buhigwe wakiwa katika maeneo Yao ya kazi.
Mafunzo hayo yamefanyika Leo katika ukumbi mkubwa wa Halmashauri yakiwa na lengo la kujengwa uwezo wa namna bora ya kufanya hiyo kazi ya ukusanyajii wa chanzo hicho ili kuongeza mapato ya Halmashauri.
Mji Mpya wa Bwega-Ofisi za Mkurugenzi
Postal Address: P.O.Box 443 Buhigwe
Simu Ya Mezani: 0282988460
Simu ya mkononi: (+255) 782 500 333
Barua Pepe: ded@buhigwedc.go.tz