Mpango wa Maendeleo na Bajeti ya Halmashauri ya Wilaya ya Buhigwe kwa mwaka wa Fedha 2018/2019
AGENDA
1. KUFUNGUA KIKAO
2.KUPITISHA MPANGO WA MAENDELEO NA BAJETI
3.MENGINEYO
4. KUFUNGA KIKAO
Kikao kilifunguliwa kwa kuanza na utambulisho wa meza kuu na kisha wajumbe wote
Kutoka kulia mwa picha ni Ndg. Kenneth Tefurukwa (Mwakilishi wa Mkurugenzi Mtendaji Wilaya), akifatiwa na Mwenyekiti wa Halmashauri Mhe. Vennance Kigwinya, Mwenyekiti msaidizi Mhe.Hamis Lukanka, wakifuatiwa na viongozi wa CCM wilaya Mwenyekiti ( Mhe. Gerard Nkabe)na Katibu CCM wilaya (Mhe. Agnes Ndoliki)
Baada ya utambulisho huo, Wajumbe walianza kujadili Mpango wa Maendeleo na Bajeti kwa mwaka 2018/19
Mhe. Diwani wa kata ya Munyegera akijadili mada iliyowasilishwa
Mhe. Diwani wa kata ya Munanila akijadili agenda iliyowasilishwa
Mhe. Diwani wa kata ya Mwayaya akitoa mchango wake katika kujadili agenda hiyo
Zaidi soma: MPANGO NA BAJETI 2018.19 FINAL.pdf
Mji Mpya wa Bwega-Ofisi za Mkurugenzi
Postal Address: P.O.Box 443 Buhigwe
Simu Ya Mezani: 0282988460
Simu ya mkononi: (+255) 782 500 333
Barua Pepe: ded@buhigwedc.go.tz