Halmashauri ya Wilaya ya Buhigwe ni Miongoni mwa Halmashauri nchini zinazotekeleza Mradi kwa ajili ya Kuinua Elimu hasa Ujenzi wa Madarasa na Miundombinu ya Elimu na Afya ambapo Majengo na yenye Ubora yamebadili Muonekano kabisa wa Maeneo Mengi na Kuongeza Ari ya Kuinua Elimu na Afya Wilayani Humo.
Fedha zote zimetoka SERIKALI KUU yaani POCHI LA MAMA
Shukrani Nyingi kwa Mhe. DKT. Samia Suluhu Hassani, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mji Mpya wa Bwega-Ofisi za Mkurugenzi
Postal Address: P.O.Box 443 Buhigwe
Simu Ya Mezani: 0282988460
Simu ya mkononi: (+255) 782 500 333
Barua Pepe: ded@buhigwedc.go.tz