Mhe.Elesi Elia Gomwa amechaguliwa kuwa Mwenyekiti na Mhe.Yoshua Severino Sagika amechaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Buhigwe.

Uchaguzi huo wa kuchagua Mwenyekiti,Makamu Mwenyekiti na kamati za kudumu za Halmashauri umefanyika leo tarehe 03 Disemba 2025 katika mkutano wa baraza la Madiwani baada ya Uchaguzi katika ukumbi wa Halmashauri hiyo.

Akizungumza katika baraza hilo amewasihi kufanya kazi kwa ushirikiano ili kuleta maendeleo kwa maslahi ya Wananchi na taifa kwa ujumla.
Mji Mpya wa Bwega-Ofisi za Mkurugenzi
Postal Address: P.O.Box 443 Buhigwe
Simu Ya Mezani: 0282988460
Simu ya mkononi: (+255) 782 500 333
Barua Pepe: ded@buhigwedc.go.tz