Picha za matukio mbalimbali yaliyojili katika matembezi yaliyoongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Buhigwe kanali Michael Ngayalina,Mwenyekiti wa Halmashauri Mh Elles Gomwa,Mbunge wa jimbo hilo Prof Yanda,kaimu Mkurugenzi Mtendaji Ndug Hamza Seif Mnaliwa,waheshimiwa madiwani na Wataalamu mbalimbali kujifunza namna bora ya kulima zao la parachichi katika shamba la Kibondo Green Farm linalopatikana katika Wilaya ya Kibondo.




Mji Mpya wa Bwega-Ofisi za Mkurugenzi
Postal Address: P.O.Box 443 Buhigwe
Simu Ya Mezani: 0282988460
Simu ya mkononi: (+255) 782 500 333
Barua Pepe: ded@buhigwedc.go.tz