Halmashauri ya Wilaya ya Buhigwe ikishirikiana na Idara ya Elimu Msingi na Sekondari leo tarehe 17 mwezi April 2024 imefanya hafla fupi ya kuwapongeza Wanafunzi,Walimu na Waratibu wa Elimu waliofanya vizuri katika matokeo ya darasa la saba,Kidato cha pili na kidato cha nne katika mitihani ya kitaifa kwa mwaka 2024 kwa kuwapatia vyeti na pesa taslim ikiwa kama motisha kwa wengine pia.
Mji Mpya wa Bwega-Ofisi za Mkurugenzi
Postal Address: P.O.Box 443 Buhigwe
Simu Ya Mezani: 0282988460
Simu ya mkononi: (+255) 782 500 333
Barua Pepe: ded@buhigwedc.go.tz