• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe za ofisi |
Buhigwe District Council
Buhigwe District Council

Jamuhuri Ya Muungano Wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Buhigwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi Mkuu
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Muundo Wa Utawala
    • Idara
      • Utawala Na Utumishi
      • Mipango, Takwimu Na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha Na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Secondari
      • Maji
      • Mifugo Na Uvuvi
      • Ardhi Na Maliasili
      • Maendeleo Ya Jamii Na Ustawi Wa Jamii
      • Ujenzi Na Zimamoto
      • Kilimo,Umwagiliaji Na Ushirika
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi Wa Ndani
      • Habari Na Mawasiliano
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kiutalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Wah. Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao
      • Kuonana na Mhe.Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayotarajiwa Kufanywa
    • Miradi Inayoendelea Kufanywa
    • New Planned Project
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Other Fomu
    • MpangoKazi
    • Baraza-Madiwani
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio

MAFUNZO YA SHULE BORA YATOLEWE KWA MAAFISA ELIMU KATA, WALIMU WAKUU, NA WENYEVITI WA SHULE

Posted on: February 28th, 2023
  • Wataalamu wa elimu ngazi ya halimashauri ya Buhigwe mkoani kigoma wanaendesha Mafunzo ya siku tatu(03) yaliyo anza siku ya jumanne feburuary 28/2/2023 hadi alhamisi march 2,2023  shule ya msingi Buhigwe,
  • Mafunzo hayo yameandaliwa  na mradi wa shule bora unaofadhiliwa na serikali ya uingereza kupitia mfuko wa uk aid kwa lengo la kuwajengea uwezo ili kuwawezesha viongozi wa Elimu ngazi za kata Kufanya Umoja wa wazazi na walimu(uwawa) katika shughuli za ufundishaji.
  • Mafunzo hayo yamehusisha makundi matatu  muhimu katika ngazi ya Halmashauri ambayo ni waratibu elimu kata, walimu wa kuu ,na wenyeviti wa kamati za shule ambao wanahusika na Mafunzo hayo wametoka katika kata 13 kati ya 20 zinazopatikana kati ya Halmashauri ya(w) Buhigwe.
  • Wawezeshaji wa Mafunzo hayo ngazi  ya halmashauriB1 anesta Afisa elimu mtakwimu ,mathis lema Afisa elimu maalumu,Andrea Charles mzibiti ubora,yametolewa Mafunzo hayo kuzingatia Mafunzo hayo kwa lengo la kwenda kuwajengea uwezo wazazi ambao hawakupata nafasi ya Kuhudhuria Mafunzo  hayo kwenda  kuunda Umoja wa wazazi na walimu(Uwawa) katika kuinua  viwanja vya taaluma shuleni.
  • Aidha wawezeshaji hao walisema Umoja wa wazazi na walimu wanawajibika kihudhuria vikao mashuleni Usimamizi wa rasilimali,usomaji wa wanafunzi majumbani kuibua na kuendeleza vipaji vya wanafunzi pamoja na  kuhamasisha uandikishaji ,mahudhurio na mvuko  wa wanafunzi.

 Pia walisema kwa umojahuo utasaidia kamati za shule katika utekelezaji wa mpango wa jumla na Maendeleo  ya shule Kusimamia usitawi na usawa  na jumuishi wa  wnafunzi kwa shughuli  vitendo vya ukatili  wa ukiukaji wahaki za watoto na kuatatua changamoto za

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAILI - 04.07.2023 June 23, 2023
  • KILA KHERI DARASA LA SABA September 12, 2023
  • TANGAZO LA AJIRA - OKTOBA 2023 October 09, 2023
  • TANZIA February 16, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED BUHIGWE ATEMBELEA VITUO VYA UANDIKISHAJI WA DAFTARI LA WAPIGA KURA.

    May 05, 2025
  • MATOKEO 2024 WALIMU NA WANAFUNZI WAPONGEZWA.

    April 17, 2025
  • BABA ASKOFU EMMANUEL BWATA AITIKIA WITO WA MKURUGENZI BUHIGWE.

    April 14, 2025
  • SHEREHE YA KUWAAGA WATUMISHI NA KUWAKARIBISHA WATUMISHI BUHIGWE YAFANA.

    April 13, 2025
  • Angalia zote

Video

Hospitali ya Wilaya ya Buhigwe kuanza kutoa huduma za Afya
Video Zaidi

Kurasa Za Karibu

  • Kuhamisha Mwanafunzi
  • Tovuti ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
  • FFARS USER GUIDE
  • PlanRep Documentation
  • Facility Financial Accounting and Reporting System (FFARS)
  • Kata Zetu
  • Wahe. Madiwani
  • BEMIS

Tovuti Mashuhuri

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Bunge La Tanzania
  • Ikulu
  • Bodi Ya Manunuzi na Ugavi
  • Wizara ya Ardhi
  • Wizara ya Elimu, Sayansi

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Mji Mpya wa Bwega-Ofisi za Mkurugenzi

    Postal Address: P.O.Box 443 Buhigwe

    Simu Ya Mezani: 0282988460

    Simu ya mkononi: (+255) 782 500 333

    Barua Pepe: ded@buhigwedc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma
    • Mwanzo

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Buhigwe. Haki zote zimehifadhiwa