Mkuu wa Wilaya ya Buhigwe Kanali Michael Ngayalina ameiongoza kamati ya Usalama Wilaya,Wakuu wa Taasisi na Wakuu wa Idara mbalimbali kwa ajili ya kupanga na kuandaa maandalizi ya kupokea na kukimbiza mwenge katika Wilaya ya Buhigwe ifikapo Septemba 2025.
Mji Mpya wa Bwega-Ofisi za Mkurugenzi
Postal Address: P.O.Box 443 Buhigwe
Simu Ya Mezani: 0282988460
Simu ya mkononi: (+255) 782 500 333
Barua Pepe: ded@buhigwedc.go.tz