Siku ya tarehe 14/6/2020 ni siku ya maadhimisho ya uchangiaji damu duniani kote, hivyo Ofisi ya mganga Mkuu wa Wilaya ya Buhigwe kupitia watumishi wake wameadhimisha sherehe hiyo kwa kukusanya damu katika kijiji cha Songambele katika kanisa la kianglikana
Pia mratibu wa Damu salama (Bw Vicent Gasper tazama video https://www.youtube.com/watch?v=ktFfgo0LW8M) ameeleza faida za kuchangia damu na kuzidi kuhamasisha wananchi wa Buhigwe wazidi kuendelea kujitolea katika shughuli za uchangiaji damu
Mji Mpya wa Bwega-Ofisi za Mkurugenzi
Postal Address: P.O.Box 443 Buhigwe
Simu Ya Mezani: 0282988460
Simu ya mkononi: (+255) 782 500 333
Barua Pepe: ded@buhigwedc.go.tz