Mkuu wa Wilaya ya Buhigwe Kanali Michael Ngayalina na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya hiyo Ndugu George E Mbilinyi wanawatakia kila la kheri wanafunzi wa Darasa la saba katika mitihani yao ya kumaliza Elimu ya Msingi.
Mji Mpya wa Bwega-Ofisi za Mkurugenzi
Postal Address: P.O.Box 443 Buhigwe
Simu Ya Mezani: 0282988460
Simu ya mkononi: (+255) 782 500 333
Barua Pepe: ded@buhigwedc.go.tz