Wakuu wa Idara na Vitengo kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Buhigwe wakiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo Ndug George Emmanuel Mbilinyi leo tarehe 21 mwezi Januari wamefanya usafi katika eneo la mzunguko(roundabout) wa barabara ya Buhigwe ikiwa ni sehemu ya uhamasishaji wa utunzaji wa mazingira kwa Wananchi.


Mji Mpya wa Bwega-Ofisi za Mkurugenzi
Postal Address: P.O.Box 443 Buhigwe
Simu Ya Mezani: 0282988460
Simu ya mkononi: (+255) 782 500 333
Barua Pepe: ded@buhigwedc.go.tz