KAMATI YA USHAURI WA WILAYA (DCC) YAKAA KIKAO.
kamati ya Ushauri wa Wilaya ya Buhigwe (DCC) leo tarehe 20 mwezi Januari 2025 yakaa kikao kujadili na kupitisha rasimu za bajeti ya mwaka 2025/2026 za taasisi za kiserikali zilizopo wilaya ya Buhigwe ambazo ni Halmashauri ya Wilaya ya Buhigwe,Tarura,Ruwasa na Tanesco.