Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango Buhigwe (FUM) yafanya ziara ya ukaguzi wa miradi mbalimbali ikiwemo ujenzi wa shule ya Sekondari ya Buhigwe unaogharimu kiasi cha Shilingi Mil 603,Ujenzi wa nyumba ya mtumishi katika kituo cha rasilimali za Kilimo,mifugo na uvuvi Buhigwe unaogharimu kiasi cha shilingi Mil 40.
Mji Mpya wa Bwega-Ofisi za Mkurugenzi
Postal Address: P.O.Box 443 Buhigwe
Simu Ya Mezani: 0282988460
Simu ya mkononi: (+255) 782 500 333
Barua Pepe: ded@buhigwedc.go.tz