Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Philip Mpango, leo tarehe 27 Novemba, 2024 ameshiriki zoezi la kupiga kura kuwachagua Viongozi wa Serikali za Mitaa.
Dkt Mpango amepiga kura katika kituo cha(Ofisi ya mtendaji wa kata) ya Kajana,kijiji cha Kasumo,kitongoji cha Kihanga.
Akizungumza na wananchi amewasihi kuendelea kujitokeza kwa wingi kushiriki zoezi hilo ili kutimiza haki yao ya kikatiba ya kuchagua Viongozi bora.
Mji Mpya wa Bwega-Ofisi za Mkurugenzi
Postal Address: P.O.Box 443 Buhigwe
Simu Ya Mezani: 0282988460
Simu ya mkononi: (+255) 782 500 333
Barua Pepe: ded@buhigwedc.go.tz