Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Buhigwe Ndug George Emmanuel Mbilinyi leo tarehe 05 mwezi May 2025 ametembelea vituo mbalimbali vya Uboreshaji wa daftari la Wapiga Kura ili kuhakikisha zoezi hilo linafanyika kwa ufanisi bila changamoto yoyote.
#buhigwefahariyetu
#2025kaziiendelee
Mji Mpya wa Bwega-Ofisi za Mkurugenzi
Postal Address: P.O.Box 443 Buhigwe
Simu Ya Mezani: 0282988460
Simu ya mkononi: (+255) 782 500 333
Barua Pepe: ded@buhigwedc.go.tz