Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Buhigwe Ndug George Emmanuel Mbilinyi leo tarehe 30 Septemba 2025 amefanya ziara katika soko la Munanila wilaya ya Buhigwe kuangalia maendeleo ya soko hilo pamoja na kuzungumza na Wafanyabiashara.
Akizungumza na Watumishi,Wananchi na wafanyabishara hao amewaasa kutimiza wajibu wao ikiwemo kulipa ushuru kwa wakati ili kwa pamoja kukuza uchumi wa kila mtu na taifa kwa ujumla.
Mji Mpya wa Bwega-Ofisi za Mkurugenzi
Postal Address: P.O.Box 443 Buhigwe
Simu Ya Mezani: 0282988460
Simu ya mkononi: (+255) 782 500 333
Barua Pepe: ded@buhigwedc.go.tz