Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya wilaya ya Buhigwe George Emmanuel Mbilinyi ametembelea kituo cha rasilimali za kilimo kinachofadhiliwa na UNDP kwa ushirikiano na ubalozi wa Norway na lreland kupitia mradi wa pamoja wa Kigoma kilichopo katika kata ya Kibwigwa Wilayani Buhigwe.
Mji Mpya wa Bwega-Ofisi za Mkurugenzi
Postal Address: P.O.Box 443 Buhigwe
Simu Ya Mezani: 0282988460
Simu ya mkononi: (+255) 782 500 333
Barua Pepe: ded@buhigwedc.go.tz