Mkuu wa Wilaya ya Buhigwe, Kanali Michael Ngayalina amejitokeza kujiandikisha kwenye Daftari la
Wapiga kura kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27, 2024.
Zoezi la kujiandikisha katika Orodha ya Wapiga Kura limeanza rasmi leo tarehe 11 Agosti 2024 kwa Nchi nzima.
Mji Mpya wa Bwega-Ofisi za Mkurugenzi
Postal Address: P.O.Box 443 Buhigwe
Simu Ya Mezani: 0282988460
Simu ya mkononi: (+255) 782 500 333
Barua Pepe: ded@buhigwedc.go.tz