Mkuu wa Wilaya ya Buhigwe Kanali Michael Ngayalina amemuagiza Afisa Utamaduni na Michezo pamoja na timu yake kuanza mara moja utekelezaji wa mikakati ya uhamasishaji na shughuli za michezo Wilayani hapa.
Mji Mpya wa Bwega-Ofisi za Mkurugenzi
Postal Address: P.O.Box 443 Buhigwe
Simu Ya Mezani: 0282988460
Simu ya mkononi: (+255) 782 500 333
Barua Pepe: ded@buhigwedc.go.tz