WATUMISHI,WADAU MBALIMBALI NA WANANCHI KWA PAMOJA WAKIONGOZWA NA MH MKUU WA WILAYA YA BUHIGWE KANALI MICHAEL NGAYALINA WAMEFANYA JOGGING NA MAZOEZI YA VIUNGO LEO HII ASUBUHI IKIWA NI SEHEMU YA UHAMASISHAJI WA MAPOKEZI YA MBIO ZA MWENGE WA UHURU 2024 UNAOTARAJIWA KUPOKELEWA TAREHE 17 MWEZI HUU SEPTEMBA 2024 NA KUKESHA KATIKA UWANJA WA SHULE YA MSINGI BUHIGWE.
Mji Mpya wa Bwega-Ofisi za Mkurugenzi
Postal Address: P.O.Box 443 Buhigwe
Simu Ya Mezani: 0282988460
Simu ya mkononi: (+255) 782 500 333
Barua Pepe: ded@buhigwedc.go.tz