Kamati ya Ulinzi na Usalama ikiongozwa na Mh Mkuu wa Wilaya ya Buhigwe Kanali Michael Ngayalina yakagua Miradi itakayopitiwa na mwenge wa Uhuru kwa mwaka 2024 ikiwemo Uwanja wa Kibwigwa uliopo kata ya Kibwigwa Wilayani Buhigwe ambao utatolea ujumbe wa mwenge wa Uhuru kwa mwaka 2024.
#kigomafahariyetu
Mji Mpya wa Bwega-Ofisi za Mkurugenzi
Postal Address: P.O.Box 443 Buhigwe
Simu Ya Mezani: 0282988460
Simu ya mkononi: (+255) 782 500 333
Barua Pepe: ded@buhigwedc.go.tz