Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Buhigwe Ndug George Emmanuel Mbilinyi ametembelea katika mradi wa Ukamilishaji wa maboma manne ya madarasa katika Shule ya Sekondari Songambele wenye thamani ya Tsh Milioni 50,000,0000. Pia ujenzi wa matundu sita ya vyoo vya Wanafunzi na matundu mawili ya vyoo vya walimu vyenye thamani ya Tsh Milioni 16,000,000. Madarasa yamekamilika na kwa upande wa vyoo ujenzi unaendelea.
Mji Mpya wa Bwega-Ofisi za Mkurugenzi
Postal Address: P.O.Box 443 Buhigwe
Simu Ya Mezani: 0282988460
Simu ya mkononi: (+255) 782 500 333
Barua Pepe: ded@buhigwedc.go.tz