Saturday 21st, December 2024
@Munanila
Halmashauri ya wilaya ya Buhigwe, inatarajia kupokea mwenge wa uhuru mnamo tarehe 27/07/2017 katika kata ya Kinazi kijiji cha Kimara ukipokelewa kutoka Kigoma vijijini na kuzindua miradi mbalimbali ya wilaya na kuukabidhi wilayani Kasulu tarehe 28/07/2017 asubuhi.
Baadhi ya miradi itakayozinduliwa ni kama jedwali lioneshavyo hapo chini.
|
|
|
|
|
|
|||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
RATIBA YA MBIO ZA MWENGE WA UHURU WILAYANI BUHIGWE TAREHE Julai 27,2017.
TAREHE |
MUDA |
MAHALI |
SHUGHULI |
UMBALI |
MHUSIKA |
27/07/2017
27/07/2017 |
2:20- 2:45
ASUBUHI |
KIJIJI CHA KINAZI (SHULE YA SEKONDARI MKOZA)
|
MAKABIDHIANO YA MWENGE WA UHURU KATI YA WILAYA YA KIGOMA NA WILAYA YA BUHIGWE
|
|
MKUU WA WILAYA YA KIGOMA NA
MKUU WA WILAYA YA BUHIGWE |
2:45–3:00
ASUBUHI |
KIJIJI CHA KIRUNGU
|
MSAFARA WA MWENGE KUONDOKA KUELEKEA KIJIJI CHA KIRUNGU
|
12.1 KM
|
MKUU WA POLISI(W)
|
|
3.00–3:15
ASUBUHI |
KIJIJI CHA KIRUNGU
|
KUWEKA JIWE LA MSINGIMRADI WA MAJI KIRUNGU
|
|
KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE WA UHURU
|
|
3:15-3:45
ASUBUHI |
KIJIJI CHA JANDA
|
MSAFARA WA MWENGE KUONDOKA KUELEKEA KIJIJI CHA JANDA- SHULE YA SEKONDARI - SAINT MATIUS MULAMBA
|
11.01KM
|
MKUU WA POLISI(W)
|
|
3:45- 4.00
ASUBUHI |
KIJIJI CHA JANDA
|
KUZINDUA KLABU YA WAPINGA RUSHWA -SHULE YA SEKONDARI - SAINT MATIUS MULAMBA
|
|
KIONGOZI WAMBIO ZA MWENGE WA UHURU
|
|
4:00- 5:00
ASUBUHI |
KIJIJI CHA JANDA SHULE YA SEKONDARI - SAINT MATIUS MULAMBA
|
|
|
KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE WA UHURU
M/KITI WA KAMATI YA CHAKULA |
|
5:00- 5:20
ASUBUHI |
KIJIJI CHA JANDA
|
|
11.5 KM
|
MKUU WA POLISI (W)
|
|
5:20- 5:35
ASUBUHI |
KIJIJI CHA BUKUBA
|
WANANCHI KUKIMBIZA MWENGE UMBALI WA M 100
|
100M
|
KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE WA UHURU
|
|
5:35 -6:00
ASUBUHI |
KIJIJI CHA BUKUBA
|
MSAFARA WA MWENGE KUONDOKA KUELEKEA KIJIJI CHA BUHIGWE
|
12.3KM
|
MKUU WA POLISI (W)
|
|
6:00 -6:10
MCHANA |
KIJIJI CHA BUHIGWE
|
|
|
KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE WA UHURU
|
|
6:10-6:30
ASUBUHI |
KIJIJI CHA BUHIGWE
|
MSAFARA WA MWENGE KUONDOKA KUELEKEA KIJIJI CHA MUYAMA
|
35.5 KM
|
MKUU WA POLISI(W)
|
|
6:30- 7:30
|
KIJIJI CHA MUYAMA
|
|
|
KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE WA UHURU
|
|
7:30- 7:50
MCHANA |
KIJIJI CHA MUYAMA
|
MSAFARA WA MWENGE KUONDOKA KUELEKEA KIJIJI CHA BUHIGWE
|
35.5KM
|
KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE WA UHURU
|
|
7:50- 8:00
MCHANA |
KIJIJI CHA BUHIGWE
|
UZINDUZI KLABU YA KUPINGA MADAWA YA KULEVYA-SHULE YA SEKONDARI BUYENZI
|
|
MKUU WA POLISI(W)
|
|
8:00-9:00
MCHANA |
KIJIJI CHA BUHIGWE SHULE YA SEKONDARI BUYENZI
|
CHAKULA CHA MCHANA
|
|
MWENYEKITI WA KAMATI YA CHAKULA
|
|
9:00-9:20
MCHANA |
KIJIJI CHA BUHIGWE
|
MSAFARA WA MWENGE KUONDOKA KUELEKEA KIJIJI CHA KITAMBUKA
|
16.3KM
|
MKUU WA POLISI (W)
|
|
9:20-9:30
MCHANA |
KIJIJI CHA KITAMBUKA
|
|
|
KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE WA UHURU
|
|
9:30-9:40
ALASIRI |
KIJIJI CHA KITAMBUKA
|
MSAFARA WA MWENGE KUONDOKA KUELEKEA KIJIJI CHA KITAMBUKA ENEO LA ZAHANATI
|
0.7 KM
|
MKUU WA POLISI(W)
|
|
9:40-9:50
ALASIRI |
KIJIJI CHA KITAMBUKA
|
KUWEKA JIWE LA UZINDUZI UJENZI WA WODI YA AKINA MAMA NA WATOTO ZAHANATI YA KITAMBUKA
|
|
KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE WA UHURU
|
|
9:50-10:10
ALASIRI |
KIJIJI CHA KITAMBUKA
|
MSAFARA WAMWENGE KUONDOKA KUELEKEA ENEO LA MKESHA- MUNANILA
|
5 KM
|
MKUU WA POLISI(W)
|
|
10:10-10:30
ALASIRI |
KIJIJI CHA MUNANILA
|
|
|
KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE WA UHURU
|
|
10:30-11:00
JIONI |
KIJIJI CHA MUNANILA(ENEO LA MKESHA)
|
RISALA YA UTII KWA MHE. RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
|
|
KATIBU TAWALA WA WILAYA
|
|
11:00-11:45
JIONI |
ENEO LA MKESHA
MUNANILA |
KUTAMBULISHA WAKIMBIZA MWENGE KITAIFA NA WASHIRIKI WENGINE
|
|
MKUU WA WILAYA
|
|
11:45–12:00
JIONI |
ENEO LA MKESHA
MUNANILA |
BURUDANI NA SHAMRASHAMRA ZA MKESHA WA MWENGE
|
|
M/KITI KAMATI YA HAMASA
|
|
12:00- 1:30
JIONI |
ENEO LA MKESHA
MUNANILA |
SHAMRASHAMRA ZA MKESHA WA MWENGE
|
|
M/KITI KAMATI YA HAMASA
|
|
1:30-3:00 USIKU
|
ENEO LA MKESHA
MUNANILA |
CHAKULA CHA USIKU
|
|
M/KITI WA KAMATI YA CHAKULA
|
|
3:00 USIKU-
1:00 ASUBUHI |
ENEO LA MKESHA
MUNANILA |
MKESHA WA MWENGE
|
|
MKUU WA WILAYA
WANANCHI WOTE |
|
28/07/2017
|
1:00- 1:45
ASUBUHI |
ENEO LA MKESHA
MUNANILA |
CHAI YA ASUBUHI
|
|
M/KITI WA KAMATI YA CHAKULA
|
|
1:45 –2:15
ASUBUHI |
KIJIJI CHA HERU JUU
|
MSAFARA WA MWENGE KUONDOKA KUELEKEA KIJIJI CHA HERU JUU -KASULU
|
38 KM
|
MKUU WA POLISI (W)
|
|
2:15- 2:30
ASUBUHI |
KIJIJI CHA HERU JUU
|
MAKABIDHIANO YA MWENGE WA UHURU
|
|
MKUU WA WILAYA YA BUHIGWE NA MKUU WA WILAYA KASULU
|
Mji Mpya wa Bwega-Ofisi za Mkurugenzi
Postal Address: P.O.Box 443 Buhigwe
Simu Ya Mezani: 0282988460
Simu ya mkononi: (+255) 782 500 333
Barua Pepe: ded@buhigwedc.go.tz