Ndugu mwananchi kwa kutembelea tovuti yetu utaweza kujua huduma zitolewazo na Halmashauri ya Wilaya ya Buhigwe, Kwahiyo itapelekea kuokoa muda wako mwingi katika kutafuta taarifa uzitakazo.
Kwasasa Halmashauri yetu ina zoezi kubwa la uuzaji wa Viwanja na baadhi ya huduma mbalimbali kama:-
Buhigwe Distict Council
Postal Address: P.O.Box 443 Buhigwe
Simu Ya Mezani: 0282988461
Simu ya mkononi: (+255) 762 967626
Barua Pepe: ded@buhigwedc.go.tz