• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe za ofisi |
Buhigwe District Council
Buhigwe District Council

Jamuhuri Ya Muungano Wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Buhigwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi Mkuu
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Muundo Wa Utawala
    • Idara
      • Utawala Na Utumishi
      • Mipango, Takwimu Na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha Na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Secondari
      • Maji
      • Mifugo Na Uvuvi
      • Ardhi Na Maliasili
      • Maendeleo Ya Jamii Na Ustawi Wa Jamii
      • Ujenzi Na Zimamoto
      • Kilimo,Umwagiliaji Na Ushirika
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi Wa Ndani
      • Habari Na Mawasiliano
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kiutalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Wah. Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao
      • Kuonana na Mhe.Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayotarajiwa Kufanywa
    • Miradi Inayoendelea Kufanywa
    • New Planned Project
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Other Fomu
    • MpangoKazi
    • Baraza-Madiwani
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio

Hongereni vijana kutuletea makombe

Posted on: August 27th, 2019

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Buhigwe ndugu Anosta Lazaro Nyamoga (kulia) ametoa salamu za pongezi kwa vijana wa shule za Msingi na Sekondari kwa kuibuka washindi na kuleta makombe ya michezo mbalimbali katika mashindano ya UMITASHUMTA NA UMISSETA ngazi ya Mkoa yaliyofanyika hivi karibuni. Akizungumza wakati wa kukabidhiwa makombe hayo Ofisin kwake leo asubuhi Nyamoga amesema "ni vema kuendeleza michezo kwa watoto na vijana wetu walioko shuleni kwakuwa michezo ni afya na huimarisha ujirani mwema, aidha michezo ni ajira, hivyo viwanja vya michezo viboreshwe na viwe na ulinzi utakaowawezesha watoto wa jinsi zote au hali zote kucheza kwa uhuru. Watoto wenye ulemavu wasitengwe kwakuwa wana haki kama walizonazo watoto wengine."

Kwa upande wake Afisa Elimu Maalum ambaye pia ni kaimu Afisa Michezo ( W) ndugu Issa Kambi (katikati) amemshukuru Mkurugenzi Mtendaji na kuahidi kuendelea kusimamia michezo kwa weledi ndani ya Wilaya si kwa wanafunzi tu bali hata kwa watumishi wa Wilaya yetu ya Buhigwe.

Aidha Afisa Elimu Msingi ndugu Fred Fandey (kushoto) hakubaki nyuma katika kutoa shukrani zake za dhati, akiwapongeza walimu na wanafunzi kwa kujituma kitu ambacho kimeleta matunda kwa wilaya yetu.


Matangazo

  • WIKI YA UNYONYESHAJI DUNIANI 1-7 AGOSTI, 2019 August 05, 2019
  • Uzaji wa Viwanja vya Wilaya March 20, 2017
  • Mazoezi ya Jumamosi ya Pili ya mwezi March 20, 2017
  • Tangazo la uzinduzi wa Soko la Mnada December 23, 2017
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • UHANDIKISHAJI DAFTARI LA WAPIGA KURA SERIKALI ZA MITAA

    October 07, 2019
  • Ukaguzi wa miradi ya maendeleo Halmashauri ya Wilaya ya Buhigwe

    September 10, 2019
  • Hongereni vijana kutuletea makombe

    August 27, 2019
  • Uchomaji moto mazingira haukubaliki Buhigwe

    August 22, 2019
  • Angalia zote

Video

Heri ya Mwaka Mpya
Video Zaidi

Kurasa Za Karibu

  • Kuhamisha Mwanafunzi
  • Tovuti ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
  • FFARS USER GUIDE
  • PlanRep Documentation
  • Facility Financial Accounting and Reporting System (FFARS)
  • Kata Zetu
  • Wahe. Madiwani
  • BEMIS

Tovuti Mashuhuri

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Bunge La Tanzania
  • Ikulu
  • Bodi Ya Manunuzi na Ugavi
  • Wizara ya Ardhi
  • Wizara ya Elimu, Sayansi

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Buhigwe Distict Council

    Postal Address: P.O.Box 443 Buhigwe

    Simu Ya Mezani: (+255) 762 967626

    Simu ya mkononi: (+255) 717 706 441

    Barua Pepe: buhigwe2013@gmail.com

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma
    • Mwanzo

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Buhigwe. Haki zote zimehifadhiwa