Saturday 16th, February 2019
@HALMASHAURI YA WILAYA YA BUHIGWE
Mkurugenzi Mtendaji anayofuraha kubwa kuwakaribsha wananchi wote katika kupokea Mwenge wa Uhuru wilayani buhigwe siku ya Ijumaa Tarehe 20/04/2018 katika kata ya Munzeze kijiji cha Kishanga. Mwenge huoo utakuwa unapokelewa kutokea Wilaya ya Kasulu Vijiji.
Mwiongoni mwashughuli kuu za Mwenge huu wa Uhuru ni katika kuzindua miradi mbali mbali amabyo inatekekelezwa na serikali ya Awamu ya Tano inayoongonzwa na Mh. Rais Dkt. John Pombe Joseph Makufuli.
Buhigwe Distict Council
Postal Address: P.O.Box 443 Buhigwe
Simu Ya Mezani: (+255) 762 967626
Simu ya mkononi: (+255) 717 706 441
Barua Pepe: buhigwe2013@gmail.com